Wakwanza kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Bw, Sunil olaso akifuatiwa na Meneja Masoko wa Airtel bi, Prisca Tembo na Mwenyekiti wa shirikisho la wadau wa Utalii Tanzania Bwana Gaudence Temu , wakionyesha vifurushi vya bidhaa mpya ya Airtel Tourist Pack , wakati wa uzinduzi wa kifurushi hicho kitakacho wawezesha watalii kuwasiliana na familia zao mara wawapo nchi katika utalii, uzinduzi huu umefanyika leo katika makao makuu ya Airtel Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa shirikisho la wadau wa Utalii Tanzania Bwana Gaudence Temu, wakionyesha vifurushi vya bidhaa mpya ya Airtel Tourist Pack, wakati wa uzinduzi wa kifurushi hicho.
Mkurgenzi mtendaji wa Airtel Tanzania bw, Sunil Colaso akionyesha waandishi wa habari (hawapo pichani) kifurishi chenye vocha maalum na laini ya Airtel kwaajili ya watalii wanaoingia nchini kitakachojulikana kama Airtel Tourist pack, uzinduzi huo umefanyika leo ambapo Watalii watakaofaidika ni wale wanaotoka Amerika, India, Italia na Uingereza kufaidika na 'Airtel Tourist pack'
Toa Maoni Yako:
0 comments: