Wilaya ya Kahama ni wilaya moja ya Mkoa wa Shinyanga. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 596,456
Baadhi ya mitaa ya mji wa Kahama.
Vikwangua anga vya kutosha.
Mbali na mji wa Kahama kusifika kwa uchimbaji wa madini bado wananchi wake wanaishi maisha duni.
Mmiliki wa Kajunason Blog akiwa moja ya kikwangua ili kuona kwa ukaribu mji wa Kahama.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: