Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Waziri Mwandamizi anayeshughulikia Mambo ya Nje na Ndani wa Jamhuri ya Singapore, Mhe. Masagos Zulkifli, Ikulu jijini Dar es salaam Juni 6, 2014. Waziri huyo na ujumbe wake yupo nchini kwa ziara ya kikazi ya siku tano.

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mwandamizi anayeshughulikia Mambo ya Nje na Ndani wa Jamhuri ya Singapore, Mhe. Masagos Zulkifli, na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es salaam Juni 6, 2014. Waziri huyo yupo nchini kwa ziara ya kikazi ya siku tano. Wa pili kutoka kulia mstari wa mbele ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Rajabu Gamaha, na kushoto kwake ni Balozi wa Tanzania nchini India anayewakilisha pia nchini Singapore, Mhe. John Kijazi.

PICHA NA IKULU
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: