Pichani ni Katibu wa Chama cha waandishi mkoa wa Ruvuma (Ruvuma Pless Club) Andrew Chatwanga akielezea changamoto zinazowakabili waandishi wa habari pindi wawapokazini katika mdahalo uliofanyika ukumbi wa chuo kikuu cha SAUT tawi la Songea ikiwa ni sehemu ya maadhimisho siku ya uhuru wa  habari Duniani.(Picha na demashonews)
Mhadhili wa chuo kikuu cha SAUT tawi la songea Dr. Jeremire Araka akitoa mada ya taswira ya vyombo vya habari Tanzania katika mdahalo uliofanyika ukumbi wa chuo kikuu cha SAUT tawi la Songea ikiwa ni sehemu ya maadhimisho siku ya uhuru wa  habari Duniani.
 Mkuu wa chuo cha SAUT tawi la Songea Rev. Dr.Faustin Kamugisha akitoa neno katika mdahalo huo uliofanyika ukumbi wa chuo kikuu cha SAUT tawi la Songea ikiwa
ni sehemu ya maadhimisho siku ya uhuru wa  habari Duniani.
 Toka kulia ni mkurugenzi wa Mpendahabari Ndg Mpenda Mvula,mwandishi wa habari wa majira Andrew Mhaiki, mhariri wa kituo cha magazeti vijini pia mwakilishi wa Radio uhuru na mkurugenzi wa Jamii ya wana Ruvuma Bw. Juma Nyumayo na wa mwisho ni mkurugenzi wa demashonews Hamza Juma wakifatilia mdahalo huo.
Wananchuo wa chuo cha SAUT wakifatilia kwa makini mdahalo huo
Baadhi ya waandishi wa habri wakiwa kazini
Wadau wa habari pamoja na wanafunzi wa fani ya uandishi wa habari wa chuo kikuu cha SAUT wakifatilia mada zinazotolewa
Wanafunzi kitengo cha habari mwaka wa kwanza wakifatilia kwa makini mdahalo
Mwanafunzi wa SAUT kitengo cha Ualimu Athuman Issa akiuliza swali.
Mwandishi wa habari wa IPP MEDIA na Demashonews Bw. Nathan Mtega akimpa mkono wa pongezi meneja wa Hifadhi ya chakula kanda ya Songea Bw. Morgan Mwaipyana baada ya kutoa mada ya kuwataka waandishi wa habari wasiwe kichocheo cha migogoro kwenye jamii.
Katibu wa chama cha waandishi wa habari mkoa wa Ruvuma Bw. Andrew Chatwanga akijib.u maswali yaliyoulizwa na wadau wa habari katika ukumbi wa chuo cha SAUT
Mwanachuo wa fani ya ualimu Bi. Mariam Peter akimpongeza Mkurugenzi wa demashonews Hamza Juma kwa kazi nzuri anayoifanya katika kupasha habari jamii hasa kwa habari za kijamii.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: