Msanii Chismo akisaini mkataba.
Msanii Chismo akikabidhiwa mkataba na mkurugenzi wake Mwinyi Machapta.
---
Msanii chipukizi anaechipukia jina lake kamili ni Adam Mustafa kwa jina la sanaa ni Chismo, alishawai kusikika na skendo ya kuibiwa wimbo wake na Rich Mavoco na kufanya vizuri “Folow me” ameingia mkataba na kampuni ya Machapta chini ya Machapta Inc kwa ajili ya usimamizi wa muziki wake kwa miaka mitatu.
Kwasasa Chismo amesha saini mkataba huo na yupo mbioni kukamilisha video yake ya kwanza kufanya katika kampuni hiyo jumapili hii na ameshaanza kurecord nyimbo katika studio tofauti tofauti za hapa nchini... Pichani anapo saini ni Chismo na Meneja wake Duwe Santana.
Toa Maoni Yako:
0 comments: