Kamanda msaidizi wa kikosi cha usalama barabarani, ACP Jehansen Kahatano akipokea mfano wa hundi kutoka kwa Meneja Uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando iliyotolewa leo kwa dhumuni la kudhamini mashindano ya mpira wa miguu kwa waendesha pikipiki maarufu kama Mpinga cup. Anayeshuhudia katikati ni Raisi wa Be forward Tanzania Bw. Hironori Yamakawa na Mkuu wa usalama barabarani kanda ya Dar es salaam ACP Amiri Konja (wakwanza kulia).
Kamanda msaidizi wa kikosi cha usalama barabarani, ACP Jehansen Kahatano (katikati) akipokea mipira itakayotumika kwenye mashindano ya Mpinga Cup. Anayekabidhi kushoto Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania Jackson Mmbando pamoja na Raisi wa Be forward Tanzania Hironori Yamakawa. Katika makabidhiano hayo Airtel pia ilikabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni tano kudhamini mashindano hayo ya Mpinga Cup.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: