IMG Photo 2​Waziri wa Uchukuzi wa Tanzania, Mhe. Dkt. Harrison G. Mwakyembe (kushoto) na Waziri wa Uchukuzi wa Singapore, Mhe. Lui Tuck Yew (kulia), wakisaini Mkataba wa Huduma za Usafiri wa Anga kati ya Tanzania na Singapore kwenye ofisi za Makao Makuu ya Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga (International Civil Organization – ICAO), jijini Montreal, Canada mwanzoni mwa wiki.
IMG Photo 3.​Waziri wa Uchukuzi wa Tanzania, Mhe. Dkt. Harrison G. Mwakyembe (kushoto) na Waziri wa Uchukuzi wa Singapore, Mhe. Lui Tuck Yew (kulia), wakibalishana Mkataba wa Huduma za Usafiri wa Anga kati ya Tanzania na Singapore waliousaini mwanzoni mwa wiki jijini Montreal, Canada.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: