Katibu Mkuu wa Shirikisho la mpira wa Miguu Tanzania,Angetile Osia (kushoto) akimkabizi bendela ya Taifa,kapteni wa timu ya vijana ya wasichana wa Airtel Rising Stars,Stumai Abdallah timu hiyo inaondoka leo kuelekea Nigeria kushiriki mashindano ya Afrika ya Airtel Rising Stars.
Katibu Mkuu wa Shirikisho la mpira wa Miguu Tanzania, Angetile Osia (kushoto) akimkabizi bendela ya Taifa,kapteni wa timu ya vijana ya wanaume wa Artel Rising Stars,Athanas Shindeka timu hiyo inaondoka leo kuelekea Nigeria kushiriki mashindano ya Afrika ya Airtel Rising Stars.
Katibu Mkuu wa Shirikisho la mpira wa Miguu Tanzania, Angetile Osia (kushoto) akikabizi bendela ya Taifa,kwa timu za vijana za wasichana na wanaume wa Artel Rising Stars ,timu hiyo inaondoka leo kuelekea Nigeria kushiriki mashindano ya Afrika ya Airtel Rising Stars.

Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: