Mmoja wa Wasanii mahiri ambaye anafanya vyema kwenye tamasha la serengeti fiesta 2013,Rachael kutoka THT akionesha umahiri wake wa kuimba na kukata mauno jukwaani,huku shangwe zikiwa zimetawala kila kona ya uwanja usiku huu ndani ya uwanja wa Jamhuri,mkoani Morogoro.
 Sehemu ya mashabiki wa tamasha la serengeti fiesta 2013 wakishangilia vilivyo usiku huu.
 MKali wa mangoma kutoka Clouds FM,Dj Zero akikamua jukwaani usiku huu wakati tamasha la serengeti fiesta 2013 likiendelea.
 Ni noma saana kwa mashabiki usiku huu wakato tamasha la serengeti fiesta 2013 likiendelea.
 Mwanadada miwngine ambaye anafanya vyema kwenye anga ya muziki wa Bongofleva,Linah akiimba jukwaani usiku huu kwenye tamasha la serengeti fiesta 2013 ndani ya uwanja wa Jamhuri,mkoani Morogoro.
 Ni burudani asilimia mia kila kona ya uwanja wa jamhuri usiku huu.
 Ni zao lingine la vipaji kuåitia shindano la Serengeti Fiesta supa nyota 2012,ambaye kwa sasa anafanya vyema sana katika muziki wa bongofleva, anaitwa Neylee akiimba jukwaani usiku huu.
 Wadau wakifuatilia yanayojiri kwenye jukwaa la serengeti fiesta usiku huu.
Pichani kati ni msanii Rachael na skwadi lake wakilishambulia jukwaa la fiesta usiku huu.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: