Baadhi ya mashabiki na wapenzi wa mchezo wa Foosball wakishindana katika mchezo maalumu ulioandaliwa na Kampuni ya Heineken Tanzania kwa mashabiki na baadhi ya Waandishi wa Habari, kwenye hafla ya chakula cha Jioni iliyofanyika makao makuu ya Ofisi hizo Osterbay Dar es Salaam kutoka kushoto ni timu A iliyoundwa na wachezaji Godfrey Musikula na Innocent Venance wakati timu B iliundwa na Robel Eyub na Ronald Levis (Na Mpiga Picha Wetu).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: