Timu ya Travelport ikiongozwa na Meneja Mkuu wa Kampuni ya Travelport, Eliasaph Mathew (wa kwanza kulia msitari wa mbele).
Timu ya Precision Air wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo, Sauda Rajab (katikati).
 Timu ya Travel Agent nayo ilishikiriki kikamilifu.
Timu ya Simbanet nayo haikuwa nyuma.
Ilikuwa ni mchaka mchaka kwa timu ya Simbanet (aliyevaa jezi nyeupe) akimpelekesha mchezaji wa timu ya Precision Air.
 Kampuni ya Travelport mwishoni mwa wiki iliandaa bonanza la kuzimisha miaka 15 tokea kuanzishwa kwake lililofanyikia katika viwanja vya Don Bosco Osterbay jijini Dar. Katika bonaza hilo kulikuwemo na michezo mbali mbali ambao iliweza kuwashirikisha makampuni mbali mbali ambao ni wadau wao wakiwemo, wadau mbali mbali wakiwemo Precision Air, Simbanet, Travel Agent.
Mpira umenoga... kati ya timu ya Simbanet na Precision Air.
 Mchezo wa kukimbiza kuku nao ulikuwepo.
 Meneja Mkuu wa Kampuni ya Travelport, Eliasaph Mathew akiwa na familia yake.
Goooooooooooooooooooooooo.... ni goli kwa timu ya Precision Air dhidi ya Travelport.
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Travelport, Eliasaph Mathew anayekaba mpira.
Hapa ilikuwa ni mpambani kati ya Travel Agent na Travelport.
Huduma ya kupima afya ilitolewa na kampuni ya Resolution Insurance.
Mdau akipata maelekezo mara baada ya kupima afya yake.
Nami mdau wa Kajunason Media nilipata wasaa wa kudhurulia na kupima afya yangu.
Mchezo wa kuvuta kamba nao ulikuwa ni kivutio ambapo timu ya Precision Air (wenye blue) iliibuka washindi kwa kuwabwanga Travel Agent (wenye jezi za njano).
Hii ilikuwa ni vuta nikuvute kati ya timu ya SimbaNet na Travelport.
Timu ya Precision Air wakishangulia ushindi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Ndege ya Precision Air, Sauda Rajab akifurahia ushindi.


Mchezo wa magunia nao ulikuwa ni kivutio sana kwa watazamaji waliofika uwanjani hapo.
Mbio kwa watoto.
Furaha baada ya mbio.
Michezo ya watoto.
Kupaka rangi...
Mratibu wa mashindano ya mbio za mita 100 akitoa maelezo.
Vuta nikuvuteee...
Mbio kwa wanawake.
Michezo ilitawala kwa watu wa rika zote ikiwemo watoto.
Show love ya wafanyakazi wa kampuni ya Travelport ambao ndiyo waandaaji wa bonanza hilo.
Kiduku nacho kilitawala sana...
Wacha weeeeeeee....
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Precision Air, Sauda Rajab akimtuza mtoto aliyevutia katika kulisakata sebene.
Akipokea zawadi yake baada ya kuibuka kidedea.
Wafanyakazi wa makampuni mbali mbali waliohudhuria bonaza hilo.
Mchezo wa kukusanya viazi kwa wanaume.
Mchezo wa kukusanya viazi kwa wanawake.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni Precision Air, Sauda Rajab akitoa zawadi kwa washindi wa mbio.
Wakurugenzi wakiwa katika picha ya pamoja.
Mwamko wa kuhudhuria ulikuwa ni mkubwa sana.... Mwenye Tisheti nyekundu ni Balongo toka Travel Agent.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni Precision Air, Sauda Rajab akitoa machache.
Medali za ushindi wa mpira wa miguu kwa washindi wa kwanza, pili na tatu zikitokewa.


Medali kwa washindi wa kwanza zilitolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni Precision Air, Sauda Rajab.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni Precision Air, Sauda Rajab akitoa zawadi ya kikombe kwa Meneja Mkuu wa Kampuni ya Travelport, Eliasaph Mathew ambaye alikuwa ni kapteni wa timu hiyo. Timu ya Travelport alishinda timu zote na kujinyakulia ubingwa huo.
Furaha na ndelemo.
Kapteni akikabidhi kikombe kwa meneja wa timu.
Picha ya pamoja na wafanyakazi waliopewa zawadi kwa utumishi wa muda mrefu.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: