Mwanadada Nadine (kushoto) akiwa na mpambe wake Pauline katika sherehe yake ya Kitchen Party aliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita nyumbani kwao Mbezi Beach jijini Dar.
 Wakiwa katika mwendo wa madaha.
 Kuserebuka kulikuwa kwa kutosha sana...
 Wanandugu wakimsindikiza mama yake Nadine (wa kwanza kushoto mwenye kofia) kuingia ukumbini.
 Mama yake Nadine akiwakaribisha wakwe walikuudhuria sherehe hiyo.
 ...Kila mmoja alikuwa na furaha ya pekee.
 Nadine akiwasalimia wageni walihudhuria sherehe hiyo.
 Kamati ya maandalizi ikiwa katika picha ya pamoja na bibi harusi mtarajiwa.
 Mambo ya Shampeni...
 Pauline ambaye alikuwa msimamizi wa Nadine akimlisha keki.
 Mambo ya Kwaito.
 Wageni waalikwa.
 Mama mzaa chema akitoa machache.
 Furaha za hapa na pale hazikukosekana.
 Maongezi ya hapa na pale.
 Wamenoga.
 Kamati ikifurahia.
 Nadine na msimamizi wake Pauline wakisakata ngoma.
 Mama mdogo wa bwana harusi mtarajiwa akifurahia jambo na mkwewe...
 Nadine akikata keki.
 Nadine akijiandaa kumlisha keki msimamizi wake.
Mama akilishwa keki..
Nadine akimlisha keki rafiki yake ambaye yupo nae kwasasa ni miaka 25.
 Mama akipeleka zawadi pamoja na kinamama.
 Mtoto kwa mama akui...
Shangazi nae hakuwa nyuma kutoa zawadi yake.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

1 comments:

  1. Nadine!
    Hongera sana!
    Nikutakie maandalizi mema kwenye harusi yako unayotarajia kufunga muda si mrefu na Bwana Mumu
    Mungu akupe afya njema sasa na hata baada ya ndoa

    ReplyDelete