Karibu Minjingu Mines&Fertiliser Ltd.
Mazao yaliyooteswa kwa kutumia mbolea ya Minjingu.
Mfanyakazi wa Minjingu Mines&Fertiliser Ltd, Neema akitoa maelezo machache kwa mteja aliyefika katika banda lao ndani ya Maonesho ya Nane Nane yanayofanyika Arusha.
Banda la Minjingu Mines&Fertiliser Ltd.
Karibu Minjingu Mines&Fertiliser Ltd.
Mbolea zinazozalishwa na kiwanda cha Minjingu Mines&Fertiliser Ltd.
Kabeji zinazopandwa na mbolea ya Minjingu.
Nyanya zikiwa zimestawi safi.
Toleo jipya la mbolea ya Minjingu ya Kilo 1 moja ambayo itaanza kusambazwa hivi karibuni.
Aina za mbolea za Minjingu tokea kiwanda kimeanzishwa.
Wafanyakazi wa kiwanda cha Minjingu Mines&Fertiliser Ltd, (kutoka kushoto) Neema na anayetoa maelezo kwa wageni ni Fatma.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: