Mzee wa Kajunason Blog akiwa na mapacha wake Sasha na Sabra mara baada ya kuwatembelea nyumbani kwao, Njiro Arusha.
Show love...
Watoto wa digitali utawaweza???, hapa Sasha na Sabra wakinielekeza jambo.
Ama kweli mtoto umleavyo ndiyo akuavyo, wala hana wasiwasi kutumia kifaa cha digitali huku amejitia kofia ya anko wake.
Like Father Like Daughters.
Chezea mamodo wetu...
Wakiwa katika nyuso za furaha ni familia ya Bw&Bi. Ally Jamal wa Arusha ambo ndiyo wamenipokea kwa bashasha na furaha kede kede katika jiji hili. Hakika Mungu azidi kuwabariki kazi za mikono yenu.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: