Daladala zikiwa zimepaki barabarani eneo la Ilala Bungoni jijini Dar es Salaam, na kufanya foleni kubwa zisizo na msingi jambo ambalo limekuwa ni hatari kwa usalama wa abiria wanaowashusha maana eneo wanaliwashushia si salama.
hapa kila dereva akitaka kumuwahi mwenzake kupita kwa mbele.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: