Mdau Innocent Melleck na mkewe Hanifa Hussein wakikata ndafu wakati 
wa tafrija ya ndoa yao iliyofanyika usiku huu kwenye ukumbi wa 
Sunset (Tembo Hall),Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.
 Maharushi Innochent Melleck na mkewe Hanifa Hussein wakiwa 
sambamba na wapambe wao kwenye tafrija hiyo ya ndoa yao iliyofanyika usiku huu kwenye ukumbi wa Sunset (Tembo Hall),Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.
 Maharushi wakiwa ni wenye nyuso za furaha na bashasha tele. 
 Bwana Hasuri Innocent Melleck
Bi. Harusi Hanifa Hussein.
 Matron (jina kapuni)
 Maharusi na wapambe wao wakiwa hai tebo.
 Maharusi wakijisevia msosi.
 Wadau sie pia tuliwakilisha ndani ya mnuso huo,hapa nikiwa na Cathbert Angelo.
 Pongezi toka kwa ndugu,jamaa na marahiki.
 Sebene limekolea.
 Wageni waalikwa wakiendelea kuserebuka.
 Baba wa Bw. Harusi akicheza sambamba na mkwewe.
 Wadau wakilisakata rhumba.
 Bw. na bi. harusi.
 kwaito ndio mpango mzima likianza huwa hakuna anaetaka kukaa. 
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: