Meneja Uhusiano wa Airtel Bwana Jackson Mmbando ( kushoto) akimkabithi mfano wa hundi wa shilingi milioni 15 bwana Adnan Ayub khan mara baada ya kuibuka mshindi wa mwenzi wa promosheni ya amka millionea. Akishuhudia ni Afisa masoko wa Airtel Bi Khalila Mbowe
Afisa masoko wa Airtel Bi Khalila Mbowe (kulia) akimkabithi mfano wa hundi wa shilingi milioni 15 bwana Juma Ibrahim Hamza mara baada ya kuibuka mshindi wa mwenzi wa promosheni ya amka millionea. Akishuhudia ni Meneja Uhusiano wa Airtel Bwana Jackson Mmbando.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: