Tunakumbuka vyazi la siku hiyo lilikuwa kufananisha na rangi za bendera ya Tanzania. Waliopendeza walizawadiwa na Amarula.
Brand manager wa Amarula, Diana Balyagati akiwapa waliofanikisha kushona na kufananisha rangi za bendera ya Taifa.
Hongereni sana wadada na wanawake kwa ujumla kwa kuweka juhudi ya kushona. Asante pia kwa AMARULA kwa kufanikisha.Najua ilikuwa kazi kubwa sana ila mimi kupitia hii nimepata wazo flani hivi ntawashirikisha muda ukifika.
Toa Maoni Yako:
0 comments: