Waziri Mkuu akitia sahihi kitabu cha maombolezo.
Waziri Mkuu akipeana mkono na Askari wa Jeshi la Wananchi (jwtz) alipotembelea eneo la tukio.
Waziri
Mkuu Mizengo Pinda alipowasili mkoani Arusha leo kuwapa pole ndugu na
jamaa ambao ndugu zao wamefariki katika machimbo ya Moramu katika eneo
la Moshono Mkoani Arusha, maporomoko hayo yametokea jana nakusababisha
vifo vya watu 13 na majeruhi wawili ambao mmoja ameruhusiwa na mwingine
amelazwa katika Hospitali ya Mount Meru. (Picha na Chris Mfinanga).
Toa Maoni Yako:
0 comments: