Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete na Balozi wa
Tanzania nchini Kenya Dkt Batilda Burian wakipozi na wasichana
waliowazawadia mashada ya maua mara baada ya kutua katika uwanja wa
ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi tayari kuhudhuria
sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Nne wa Kenya Mhe Uhuru Muigai Kenyatta
na Naibu Rais wake Mhe William Ruto katika uwanja wa michezo wa Kasarani
kesho April 9, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete
wakipokea maua mara baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa
wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi tayari kuhudhuria sherehe za kuapishwa
kwa Rais wa Nne wa Kenya Mhe Uhuru Muigai Kenyatta na Naibu Rais wake
Mhe William Ruto katika uwanja wa michezo wa Kasarani kesho April 9,
2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kitabu cha wageni baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi tayari kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Nne wa Kenya Mhe Uhuru Muigai Kenyatta na Naibu Rais wake Mhe William Ruto katika uwanja wa michezo wa Kasarani kesho April 9, 2013. Mama Salma Kikwete na Balozi wa Tanzania nchini Kenya Dkt Batilda Burian wamesimama pembeni na wenyeji wao
PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments: