Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe, Charles Bishuli akihutubia wananchi wa
wilaya ya Kasulu kwenye sherehe za uzinduzi wa minara, kulia kwake
Meneja wa Kanda ya ziwa Bw Joseph Mutalemwa na Meneja wa Tigo wa mkoa
wa Kigoma Bw Gamu Kimoro
Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe, Charles Bishuli akitaka utepe kuzindua mnara ya TIGO katika kata ya muyama wilayani Buhigwe (kulia) kwake Meneja wa kanda ya ziwa Bw Joseph Mutalemwa.
Toa Maoni Yako:
0 comments: