Baadhi ya wasanii wakionekana na majozi katika kaburi la marehemu Kanumba leo ikiwa ni siku ya maadhimisho yake ya mwaka mmoja tangu afariki dunia.
Alikuwa ni vilio vya hapa na pale, katika kaburi la marehemu
Kanumba leo ikiwa ni siku ya maadhimisho yake ya mwaka mmoja tangu
afariki dunia
Mama yake mzazi Marehemu Kanumba (kushoto) akiwa pamoja na Msanii Lulu pamoja na mama yake Lulu katika siku ya maadhimisho yake ya mwaka mmoja tangu
afariki dunia.
Mdogo wake Marehemu Steven Kanumba akiweka shada la Maua katika kaburi la kaka yake.
Toa Maoni Yako:
0 comments: