Muonekano wa Kituo kikubwa cha mabasi yaendayo mkoani yanavyoonekana kwa sasa baada ya kuvunjwa kwa ukuta ili kupisha magari yaendayo kwa kasi.
Yani vibanda vyote vimeng'olewa.
Wafanyabiashara wadogo bado wameng'ang'ana mpaka kieleweke.
 Maji yamejaa katika eneo la barabara inayotengenezwa.
 Foleni kimtindo.
 Geti la kutokea likiwa limejaa maji.
 Kijana mtoza ushuru akisubiri wateja.
Balaa tupo kwa msimu huu wa mvua, Ubungo yote inageuka bahari.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: