Picha juu ni gari alilokua akitumia Paroko wa Kanisa la Katoliki Minara Miwili Zanzibar, Evarist Mushi jana asubuhi likiwa limegonga ukuta muda mfupi baada ya watu wasiojuliakana kumshambulia Paroko Evarist Mushi kwa risasi na kufariki
  Gari alilokuwa amepanda Padri Evarist Mushi likiwa limetapakaa damu baada ya kupigwa risasi
mmm
Hili ndilo gari alilokuwa akitumia padri huyo, kabla ya umauti kumkuta.

Padri Evaristitus Mushi wa Kanisa katoliki, Parokia ya St. Joseph, Shangani, Unguja alipigwa risasi ya kichwa na kufariki dunia majira ya saa 1:30 asubuhi na watu wawili wasiofahamika ambao walikuwa wamepanda piki piki aina ya Vesper katika eneo la Beit-EL-Ras karibu na kanisa la Katoliki.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: