Picha za Msanii Diamond ambazo zimenaswa kwenye website yake, maelezo ya picha hizo zinasema; Siku zote kabla ya kwenda popote lazima tupitie kwa mama yetu mpendwa atupe Baraka... Nikipokea baraka za Mama… Nijaliwe Mema na Niende kwa Amani…!! Wasafi wakipata baraka za mama. Hakuna kama mama.... Mtakalia madawa madawa...hakuna madawa zaidi ya baraka za mama... hata Neno la Mungu linasema waheshimu Baba na Mama yako siku zako zipate kuwa nyingi.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: