*SAFARI HII NI YA MWISHO KWA MWAKA HUU NA YA AINA YAKE, ITAKUWA JUMAPILI OKTOBA 21, 2012.
-->
Mahali:Diamond jubelee VIP hall
Muda:Kuanzia saa nane mchana mpaka saa nne usiku.
Kiingilio ni Tsh 30,000
Ukitaka kubook meza ya watu kumi piga namba 0787583132,0716485666
Safarii hii ukiacha wasemaji kuna burudani ya kila aina ukizingatia ni ya mwisho kabisa kwa mwaka huu.Bila kusahau chakula,na vinywaji laini.

RANGI YA SIKU
Kwa muda kina dada/mama mmekuwa mkitoa maoni mnataka kushona nguo mtokelezee. Basi rangi ya siku ni rangi ya chenza (tangerine tango)color of the year 2012. Ishone utakavyotaka wewe iwe kitambaa cha kawaida,kitenge,kanga,batiki,au ukachanganya vyovyote ili mradi uzingatie rangi ya siku.

Kwa habari zaidi tembelea blogs zifuatazo;
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: