Kampuni ya kusafirisha vifurushi ya DHL inatoa punguzo kwa kusafirisha vifurushi katika promosheni yake inayoendlea sasa!

Hayo yalibainishwa wakati Rais wa IBF Afrika, Mashariki ya Kati, Ghuba ya Uarabu na Uajemi Onesmo Alfred McBride Ngowi alipotembelea ofisi zao leo katuka jingo la Peugeot . jijini Dar-Es-Salaam na kupiga picha na wafanyakazi wa DHL.

Ngowi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Baraza la Ngumi la Jumuiya ya Madola (CBC), Rais wa Shirikisho la Ngumi la Afrika ya Mashariki na Kati (ECAPBA) na Rais wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBC) alifurahiswa sana na huduma wanazotoa DHL na kuwahimiza wafanyakazi wake waendelee na kutoa huduma hizo nzuri!

Pichani Ngowi mwenye miwani akiwa amesimama na wafanyakazi wa DHL!

Imetolewa na Uongozi

IBF Africa, mashariki ya kati na Guba ya Uarabu na Uajemi
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: