Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akisoma hotuba yake ya ufunguzi rasmi wa semina elekezi ya siku moja iliyoandaliwa na Chama cha ‘Sherehe Arts Association’ (SAA), kujadili changamoto mbalimbali zinazolikabili soko la Biashara, kukuza ubunifu wa sanaa kwa wateja, masoko na elimu ya mitandao ya Kijamii. Semina hiyo ilifanyika juzi Septemba 10, 2012. Picha na OMR
-->
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimkabidhi Tuzo na
zawadi, Mc Marry Mwanyato, aliyefanya vizuri kwa mwaka 2011-2012,
wakati wa ufunguzi wa Semina elekezi ya siku moja iliyoandaliwa
na Chama cha ‘Sherehe Arts Association’ (SAA), kujadili
changamoto mbalimbali zinazolikabili soko la Biashara, kukuza ubunifu
wa sanaa kwa wateja, masoko na elimu ya mitandao ya Kijamii. Semina
hiyo iliyofunguliwa na Mama Asha Bilal, ilifanyika juzi Septemba 10,
2012. Jijini Dar es Salaam. Picha na OMR
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimkabidhi Tuzo na
zawadi, Mc Brigita Kisenga, aliyefanya vizuri kwa mwaka 2011-2012,
wakati wa ufunguzi wa Semina elekezi ya siku moja iliyoandaliwa na
Chama cha ‘Sherehe Arts Association’ (SAA), kujadili changamoto
mbalimbali zinazolikabili soko la Biashara, kukuza ubunifu wa sanaa
kwa wateja, masoko na elimu ya mitandao ya Kijamii. Semina hiyo
iliyofunguliwa na Mama Asha Bilal, ilifanyika juzi Septemba 10, 2012.
Jijini Dar es Salaam. Picha na OMR
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akiwa katika picha ya pamoja
na wanachama wa Chama cha ‘Sherehe Arts Association’ (SAA) baada
ya ufunguzi wa Semina elekezi ya siku moja iliyoandaliwa na chama
hicho kujadili changamoto mbalimbali zinazolikabili soko la Biashara,
kukuza ubunifu wa sanaa kwa wateja, masoko na elimu ya mitandao ya
Kijamii. Semina hiyo iliyofunguliwa na Mama Asha Bilal, ilifanyika
juzi Septemba 10, 2012. Jijini Dar es Salaam. Picha na OMR
Toa Maoni Yako:
0 comments: