Wanakwaya wakiwajibika
Jeneza la Marehemu Steven Kanumba
Wasani wenzake wakitaharuki mbele ya Jeneza la Marehemu Steven Kanumba.
Wasanii wenzake waliamua kukaa chini.
Mtitu akitoa shukrani za pekee.
Umati wa watu uliojitokeza
Aha! kila mmoja alitamani kumuaga Marehemu Kanumba.
...Kila mmoja alitamani kuona kuaga.
Watu wa kutosha ila inasemekana Marehemu Kanumba ni mtu wa pili kuzikwa na maelfu ya watu...akiongozwa na Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Mwenyekiti wa kamati ya mazishi ya marehemu Steven Kanumba akiwaomba watu waliofika katika eneo hilo waondoke ili wakajipange barabarani baada ya kushindwa kuaga.
Watu wakiwa wamelizingira gari lililobeba jeneza la mwili wa marehemu wa Steven Kanumba.
...watu wakiwa wamezingira wakidai washushiwe jeneza ili wabebe wenyewe.
Umati wa watu ukiwa barabara ya Tunisia wakielekea makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
...kila mtu hakutaka kupitwa na tukio.
Watu walikuwa hawapo nyuma.
watu mbali mbali walijitokeza kwa wingi
hapa ni barabara ya Tunisia umati wa watu ukiwa umejazana kuelekea makabuni ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Wengine waliamua kupanda mpaka juu ya magari.
Toa Maoni Yako:
0 comments: