Umati wa watu ukiingia Lidaz Club jijini Dar es Salaam.
 Watu wakimiminika viwanjani hapo.
 Viongozi mbali mbali walikuwepo.
 Msalaba mwekundu wakijaribu kuwasaidia watu waliokuwa wameanguka na mshtuko.
 ...pamoja na jua kali watu walifurika kwa wingi.
Watu walikuwa wa kutosha.
Wanakwaya wakiimba.
Wasanii mbali mbali ambao walikuwa wamekaa karibu na jeneza la Marehemu Steven Kanumba.
Kamati ya maziko ya Steven Kanumba ikijaribu kuweka mambo sawa.
...Watu wengi walizimia.
Viongozi mbali mbali waliofika eneo la kuaga marehemu Steven Kanumba
...Watu wakiwa wamekaa kwa utulivu.

Ama kweli marehemu Steven Kanumba alikuwa mtu wa watu
Waandishi wa habari nao hawakuwa nyuma.
Wafanyakazi wa Msalaba mwekundu wakijaribu kuokoa watu walikuwa wamezimia
Dj Choka nae hakuwa nyuma kukamata matukio.
...ilikuwa ni mshike mshike
Ama kweli msiba uliwagusa wengi.
Waandishi wa habari wakichukua tukio.
Mbunge wa Mbeya kupitia chama cha Chadema, Joseph Mbilinyi akitoa heshima za mwisho.
Viongozi mbali mbali wakitoa heshima za mwisho.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: