Msanii wa muziki wa kizazi kipya ajuliakananeye kwa jina la Malfred kwa sasa anatengeneza video ya wimbo wake wa 'Mrembo' ambao upo kwenye albamu yake ya 'Hisia Zangu'. 

Na hizo ni baadhi ya picha za vipande vya video hiyo ambayo amerekodia Kariakoo. Picha hizi zimeletwa kwenu na Pernille Bærendtsen wa www.duniaduara.org. 
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: