Goli mbili zikonekana kwenye ubao wa matangazo.
Mchezaji wa Simba, Uhuru Selemani akinyanyua juu ngao ya hisani mara baada ya kukabidhiwa rasmi katika mchezo wa ngao ya hisani, uliofanyika kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es salaam jana usiku.
Hapa ni raha ya ushindi wakisakata mayenu kutoka kulia tena ni Victor Costa, Uhuru Selemani, Felix Sunzu na Juma K. Juma. Asante sana... FULLSHANGWE
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: