Msimamizi wa biashara na masoko wa kampuni ya Tigo Bw.Gaudens Mushi (kushoto) akimkabidhi Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi Msisiri A, Bi.Prisca Myalla. Kulia ni makamu mwenyekiti wa shule hiyo Bw. Joseph Shango.

  Msimamizi wa biashara na masoko toka kampuni ya Tigo Bw.Gaudens Mushi akimwelekeza mwanafunzi wa darasa la pili katika shule ya Msingi ya Msisiri A ya jijini Dar es Salaam, Hifta Jafari jinsi ya kutumia vibao maalum vya kujifunzia vilivyotolewa na Tigo shuleni hapo jana.Baadhi ya Wanafunzi wa shule ya Msingi Msisiri A wakisoma vibao vya maalum vya kujifunzia vilivyotolewa na Tigo shuleni hapo jana jijini Dar es Salaam.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: