Mzee Ernest Paulo Waya aliyepigana vita kuu ya pili vya Dunia akiongea na Mbeya Yetu, amesema serikali imewatelekeza na kutowajali kwa chochote na kuwazulumu mafao yao mashujaa hao wa zamani ila huwaona wamaana sana siku ya mashujaa na kuwaita ili washiriki pamoja siku hiyo zoezi hilo likiisha huwatelekeza mpaka mwaka mwingine tena mzee Waya amesema ndiyo maana mwaka huu wenzake wengi hawajaja wapo kujitafutia riziki maana kula yao niyashida sana.
 Mzee Ernest Waya akiweka upinde na mshale kuwakumbuka wenzake aliokuanao vitani enzi hizo.
 Mzee Ernest Waya akitoa heshima mara baada ya kuweka upinde na mshale.
 Toka kushoto ni Mkuu wa Mkoa Mbeya John Mwakipesile wapili ni Mstahiki meya wajiji la Mbeya Mh Atanas Kapunga watatu Mzee Ernest Waya wanne ni mwakilishi wa machifu wa Mbeya.
 Shughuli imekwisha Mzee Waya huyoo ndiyo wamekwisha msahau hawana mpangonae tena
Hapa anaelekea ofisi ya mkuu wa Mkoa Mbeya apate msaada wa usafiri kumrudisha kwake Mbalizi...
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: