Gari aina ya Colora likiwa limeharibika vibaya baada ya kugongana uso kwa uso na gari aina ya Rav 4 pamoja na piki piki.
Gari aina ya Rav 4 lenye namba za usajili T595 AKA likiwa hoi.
Daladala linalofanya kazi soko kuu kwenda Uyole likiwa limeharibika vibaya baada ya kugongwa. Ajali hiyo imetokea usiku wa jana majira ya saa 5 katika eneo la benki ya Posta jijini Mbeya Habari na Matukio ilishukudia watu watatu walijeruhiwa vibaya na kukimbizwa hospitalini.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: