Mtangazaji wa kipindi cha Leo Tena esha kipindi.Watangazaji wa Clouds Fm, Geah Habib (kushoto) na Husna Abdul a.k.a Dahuu kulia aliyekaa.Mtangazaji wa Clouds Fm, Zamaradi Mketema akimnong'oneza Joti jambo.
Msikilize muigizaji kutoka kundi la Orijino Komedi akielezea chimbuko la jina lake, kama alivyokutwa katika kipindi cha Leo Tena kunachorushwa na Clouds Fm 88.4 jijini Dar na kusimaliwa na mtangazaji Dina Marios, Geah Habib, Husna Abdul na Zamaradi Mketema.
Toa Maoni Yako:
0 comments: