Wasanii wa tasnia ya filamu wakiwa katika picha ya pamoja na mheshimiwa rais Jakaya Kikwete mara walipotembelea nyumbani kwake mjini Dodoma.
The great akiwa ameshikana mkono kabisa Rais JK.
Ray akiwa ameshikana mkono na Rais JK.
Jack Wolper akiwa pamoja na Rais.
The great akiwa na Mama Rita Mlaki pamoja na Jackline.
Ray akiwa ameshikana mkono na Rais JK.
Jack Wolper akiwa pamoja na Rais.
The great akiwa na Mama Rita Mlaki pamoja na Jackline.
---
Siku ya Jumanne saa wasanii walipata mwaliko mjini Dodoma kuonana na Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambapo mheshimiwa aliwaalika wakapata chakula cha mchana nyumbani kwake hapo na hapo ndipo walipata nafasi ya kuzungumza mambo waliyokuwa nayo yahusuyo tasnia ya filamu kwa ujumla, "La kufurahisha zaidi Raisi alianza kuyafanyia kazi yale tuliyomwambia hapo hapo mezani tukiwa tunakula akiagiza ufuatiaji wa karibu sana katika masuala tuliyowakilisha kwake.. hii ikawa ni siku nzuri kwetu," Anasema Kanumba.
Ukitaka zaidi soma www.kanumbathegreat.blogspot.com
Wasanii wamependeza sana
ReplyDelete