Mambo yameshaiva kama unavyojionea mwenyewe.
'Vijana wapo kazini wanamalizia malizia'

Kituo cha Mbezi mwisho kilichopo barabara ya Morogoro jijini Dar es Salaam kipo kwenye hatua za mwisho kuisha kama kinavyoonekana kwenye picha. Hakika kituo hiki kitakapokamilika na kuanza kutumika kitapunguza foleni.

Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: