Huu ni mnada wa Msalato ulipo Dodoma kama unavyooneka leo ambapo hupatikana nyama za ng'ombe, mbuzi pamoja na wanyama waliohai. Na hufanyika kila jumamosi.

'Akikatakata kuuzia wateja'

Muuza nyama akionyesha wateja.

'Zinasubiri wateja mbapo kilo moja ya nyama ya mbuzi/ng'ombe huuzwa tshs. 4,ooo/=

'Watu wakiwa katika harakati za kununua nyama'

'Kwa wale wanaopenda nyama ya utumbo nao ulikuwepo'

'Nyama zikiwa jikoni'

'Nyama'

'Vikao vya pombe ya kienyeji vinaendelea'

'Mambo safi'

Mama muuza akiwapa akiwapimia wateja wake pombe za kienyeji. Kinywaji na nyama kwa kwenda mbele.


Akina mama wakinunua nguo.

Bidhaa zikisubiri wanunuaji.

Nguo. Wengine nao walikuwa wakichagua viatu.


Wengine wapi busy kutafuta nguo.
'Watu wakifanya shoopping za kutosha kuhakikisha mambo ya pasaka yaende sawa'
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: