Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Dr. Hari Prasad, afisa Mkuu eneo la kati kutoka Mtandao wa Hospitali za Apolo nchini India, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana. Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Dr Hari Prasad, na Meneja Mkuu Ustawi wa Biashara wa Kimataifa, Radhey Mohan, (kushoto) kutoka Mtandao wa Hospitali za Apolo nchini India, walipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana . Picha na Ramadhan Othman, Ofisi ya Rais Zbr.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: