Ni msanii chipukizi anayekuja juu katika gemu la muziki wa kizazi kipya, Y-Fil, hivi sasa anatamba na songi lake la Faraway aliomshirikisha queen wa THT, Mwasiti na anawasha endiketa kwa maveterani kuwa wakae mkao wa kupigwa bao kwani amekuja kuwafunga. Akiwa chini ya udhamini mnono wa promota alwatan nchini, Ustadh Juma, dogo amedhamiria kufanya makubwa katika ulimwengu wa muziki wa kizazi kipya!
Home
Unlabelled
INGIZO JIPYA KATIKA MUZIKI WA BONGO FLEVA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments: