Washiriki wa Tigo Walk for Water wakisubiri kuanza Washiriki wa Tigo Walk for Water wakikimbia KR Mullah kutoka katika kundi la Wanaume TMK akicheza pamoja na watoto katika hafla ya Tigo Walk for Water iliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Washiriki wakuburudika na kufurahi wakati wa burudani katika Tigo Walk for Water lililofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: