Katibu Mkuu wa Baraza la Sanaa Tanzania (basata), Ghonje Materego (wa pili kushoto), akisikiliza maelezo mafupi kuhusu kifo cha Director Mkongwe wa muvi nchini, Hammie Rajab, aliyefariki alfajiri ya kuamkia leo katika hospitali ya Amana. Marehemu ameagwa hospitalini hapo kwenda Mororgoro ambako anatarajiwa kuzikwa jioni hii. Marehemu aliyekuwa na umri wa miaka 75, ameacha mke, watoto 14 na wajukuu 14. Mungu ailaze roho ya marehemu peponi, Amin!
...mwili wa marehemu akibebwa kuelekea kwenye gari tayari kwa safari ya Morogoro.
Ukitaka kusoma zaidi Global Publishers
...mwili wa marehemu akibebwa kuelekea kwenye gari tayari kwa safari ya Morogoro.
Ukitaka kusoma zaidi Global Publishers
Toa Maoni Yako:
0 comments: