Mtangazaji wa Clouds Fm, Regina Malekwa akiongea na Mh. Anna Tibaijuka katika studio za Clouds Fm ambapo Mh. Tibaijuka leo alitembelea Clouds Media Group iliyopo jijini Dar es Salaam, kwa nia ya kujifunza na kuona jinsi wanavyofanya kazi pia aliweza kufafanua mengi yanayohusu wizara yake pamoja na kuwashukuru wenyeji wake kwa kuweza kumwezesha akajifunza mambo mengi zaidi ambayo kwa namna moja ama nyingine alikuwa hayafahamu.
Muandaaji wa vipindi wa Clouds Fm 88.4 Simon Simalenga akifanya mahojiano na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Profesa Anna Tibaijuka pembeni yake ni Mtangazaji wa Clouds Fm, Regina Malekwa.
Mtangazaji wa Choice Fm Tandi, kipindi cha Morning Jam akiwa kazini mara Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Profesa Anna Tibaijuka alipokuwa akitembelea.
Program Manager wa Clouds Fm 88.4, Sebastian Maganga akimpa maelekezo Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Profesa Anna Tibaijuka namna ya kazi zinavyofanyika studio A ambayo ndiyo inatumika kurusha vipindi kwenda hewani.
Program Manager wa Clouds Fm 88.4, Sebastian Maganga akimpa maelekezo Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Profesa Anna Tibaijuka namna ya kazi zinavyofanyika studio B.
Akisalimiana na waandaji wa vipindi.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Profesa Anna Tibaijuka akiwa na Ruge Mutahaba.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Profesa Anna Tibaijuka alikutana 'live' na Mebu ambaye ni msimamizi upande wa Clouds TV.Kumbukumbu muhimu: Tukiwa tumepata picha ya pamoja na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Profesa Anna Tibaijuka.

Toa Maoni Yako:
0 comments: