Mchungaji Mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Ambilikile Mwasapile amesitisha huduma ya kikombe mpaka itakapofika Mei 2 baada ya kufiwa na mwanae.
Akizungumza na Habari na Matukio, Mkuu wa mkoa wa Arusha Bw. Isdori Shilima alisema kuwa kwa sasa ni bora watu wakasitisha kwenda mpka itakapofika mwezi wa huo wa tano kutokana na babu kufiwa na mwanae ambaye yupo Babati.
'Ni bora kwa sasa wananchi wote wanaoenda kwa babu kusitisha kwenda huko kutokana na babu amalize kwanza msiba, nawaomba wote wanaopita njia za panya wakaona umuhimu wa kuacha tabia hiyo na kufuata yale wanayoambiwa,"Alisema Bw. Shirima.
N:B. Blog ya Habari na Matukio inampa pole sana kwa msiba wa mwanae, Bwana alitoa na Bwana Ametwaa jina lake libarikiwe,"

Toa Maoni Yako:
0 comments: