.jpeg)
Katibu
wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa - Mambo ya Siasa na Uhusiano wa
Kimataifa (SUKI), Ndg. Rabia Abdalla Hamid, amefanya Kikao kazi na
Kansela wa Chama Cha Kikomunisti (CPC), Ubalozi wa China nchini Tanzania
Ndg. Xu Sujiang leo tarehe 16.04.2026, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya
CCM, Lumumba, Dar es Salaam.
Lengo la kikao hicho ni kujadiliana kuhusu masuala mbalimbali yanayolenga kuimarisha uhusiano na itikadi za vyama hivyo.



.jpeg)
.jpeg)

Toa Maoni Yako:
0 comments: