Mkuu wa Kanda ya Kaskazini, Vodacom Tanzania PLC, George Venanty (kushoto) akimkabidhi kiti mwendo mmoja wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Mkata ambapo pia walikabidhi matundu ya choo 10, magodoro 40, vitanda 20 na viti mwendo 47 kwa shule hiyo ikiwa ni sehemu ya shughuli zinazofanywa katika Msafara wa Twende Butiama ambao umeanza Julai 3, 2025. Pia msafara huu, chini ya ufadhili wa Vodacom Tanzania na Benki ya Stanbic Tanzania, walifanikiwa kupanda jumla ya miti 100 katika kata ya Mkata iliyopo katika wilaya ya Handeni Vijijini, mkoani Tanga.
Mkuu wa Kanda ya Kaskazini, Vodacom Tanzania PLC, George Venanty akizungumza machache katika hafla ya kukabidhi matundu ya choo 10, magodoro 40, vitanda 20 na viti mwendo 47 katika Shule ya Msingi Mkata, Handeni - Tanga.
Viti mwendo...
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: