Mkuu wa Kitengo cha Wateja, Biashara na taasisi ya Afrika Mashariki wa Benki ya Standard Chartered, Bw. Birju Sanghrajka alitembelea Tanzania wiki iliyopita. Katika ziara yake hiyo, alikuwa na mazungumzo na wadau mbalimbali. Mojawapo ya mazungumzo hayo ni pamoja na tukio la mteja ambalo lilifanyika wiki iliyopita na baadhi ya Wateja wetu wa Biashara.
Home
HABARI
HABARI NA MATUKIO
HABARI ZA BIASHARA
Benki ya Standard Chartered Yaimarisha Ushirikiano na Wateja
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments: