Meneja wa kiwanda cha kuchakata betri chakavu za magari na pikipiki cha HUATAN Bw. Anthony Warioba akitoa maelezo ya malighafi zinazochakatwa kwa ajili ya kutengeneza betri kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki alipotembelea kiwandani hapo Januari 23, 2020 katika Wilaya ya Rufiji mkoa wa Pwani.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki akifuatilia taarifa ya kiwanda cha kuchakata betri chakavu za magari na pikipiki cha Huatan kutoka kwa Meneja wa kiwanda hicho Bw. Anthony Warioba (hayupo pichani).
Meneja wa kiwanda cha kuchakata betri chakavu za magari na pikipiki cha HUATAN Bw. Anthony Warioba akimuonesha Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki mazingira ya kiwanda hicho alipotembelea kiwandani hapo Wilaya ya Rufiji mkoa wa Pwani Jnuari 23, 2020.
Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mhe. Juma Abdallah Njwayo akitoa taarifa ya uwekezaji wa kiwanda cha kuchakata betri chakavu za magari na pikipiki kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki wakati wa ziara yake kiwandani hapo.
Meneja wa kiwanda cha HUATAN Bw. Anthony Warioba akisoma taarifa ya kiwanda hicho kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki akiteta jambo na Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mhe. Juma Abdallah Njwayo pamoja na Mkurugenzi wa Uhamasishaji Uwekezaji kutoka Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) Bw. John Mnali wakati wa ziara yake katika kiwanda cha kuchakata betri chakavu za magari na pikipiki cha HUATAN. (PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: