Waziri wa Madini, Doto Biteko amewataka wananchi hususani wachimbaji wadogo wa dhahabu kuwa makini na matumizi ya Zebaki kwenye uchenjuaji wa madini hayo wakati Serikali ikitafuta njia mbadala ya kemikali hiyo.

Waziri Biteko ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe ameyasema hayo wakati akizungumza kwenye Kikao cha Kamati ya Ushauri (RCC) Mkoa Geita, kilichofanyika Oktoba 16,
2019.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
 Waziri wa Madini, Doto Biteko akizungumza kwenye kikao hicho.
 Afisa Madini Mkazi Mkoa Geita, Daniel Mapunda akiwasilisha taarifa ya Madini ya Mkoa huo.
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye kikao hicho.
Tazama Video hapa chini

Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: